Latest News

TANGAZO KWA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI OMAN ::- KAMA MNAVYOFAHAMU MNAMO TAREHE 10 SEPTEMBA 2016 TANZANIA ILIKUMBWA NA JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI AMBALO LILIATHIRI KWA KIWANGO KIKUBWA SANA MKOA WA KAGERA. ILI KUONYESHA MSHIKAMANO WETU WA KUWAJALI WENZETU WALIOKUMBWA NA MAAFA HAYO, WIZARA YA MAMBO YA NJE IMETOA AGIZO KWA BALOZI ZETU NJE, KUWAHAMASISHA WATANZANIA WANAOISHI NJE YA NCHI (DIASPORA) KUCHANGIA KWA HALI NA MALI ILI KUTIMIZA LENGO LA KUWAWEZESHA WAHANGA HAO KURUDIA HALI YAO YA MAISHA YA KAWAIDA KAMA ILIVYOKUWA HAPO AWALI. MICHANGO HIYO IWASILISHWE KATIKA AKAUNTI RASMI YA KUCHANGIA IFUATAVYO

More>>

Karibu - Welcome!

The Embassy of the United Republic of Tanzania in the Sultanate of Oman welcomes you to our Official Website. Here you will find information about Trade, Investment, Visa and Consular matters, tourism, embassy activities and much more. We hope you will find our website informative and helpful. Please do not hesitate to contact us. We are here to serve you. KARIBUNI SANA.